rfi

Hewani
  • RFI Kiswahili
  • Sikiliza taarifa ya Habari
  • RFI kwa Kifaransa
Talisman Brise
rss itunes

Kwamé anakutana na Clément

Na Karume Asangama

Kule Tondiedo, Kwamé anakutana na Clément, mtembezaji wa watalii na mwanafunzi Chuo Kikuu cha Niamey. Anamjua Profesa Omar. Hii inaweza kuwa sehemu ya kuanzia...Jioni kwenye mgahawa, anasikia sauti ambayo si ya kawaida inayomfuata...halafu kule redioni wanazungumzia kutekwa nyara kwa Professa na GIETA, shirika lisilo la serekali linalo dhamini tafiti za profesa. Kwamé, hawaamini.

Polisi yawaweka chini ya ulinzi watekaji nyara kabla ya kumuokoa Profesa Omar...

Kwame na polisi wanafanikiwa kufika katika eneo aliloshikiliwa Profesa Omar

Kwame afanikiwa kuwashawishi polisi na kuondoka nao..

Watekaji nyara wadai pesa ili kumwachia profesa Omar

Kwame anamtumia mbinu mbali mbali za kumpata Profesa Omar ikiwemo kumtumia mganga wa jadi, Je atafanikiwa?

Kwame bado anakabiliwa na changamoto ya kufika alipo Profesa Omar .

Baada ya kuachiwa huru na polisi Kwame anaendelea na harakati za kumtafuta Profesa Omar, je atafanikiwa?

Kwame apewa maelekezo na Clement mtembezaji wa watalii

Kwame anakutana na polisi wa kike,je atamsaidia kumpata Profesa Omar?