Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea-Bissau

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia mapinduzi yaliyofanyika nchini Guinea-Bissau ambako sasa hali ni tete wakati huu ambapo ujumbe maalumu wa ECOWAS uko nchini humo kujaribu kuushawishi utawala wa kijeshi kuondoka madarakani.

Wanajeshi wa Guinea-Bissau wakiwa kwenye ofisi za Serikali punde baada ya mapinduzi
Wanajeshi wa Guinea-Bissau wakiwa kwenye ofisi za Serikali punde baada ya mapinduzi Reuters
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.