Pata taarifa kuu
malaysia, australia

Mahakama Kuu ya Australia yazuia mpango wa kubadilishana wakimbizi na Malaysia.

Mahakama kuu nchini Australia, imetoa uamuzi wa kuizuia serikali kuendelea na mpango wake wa kubadilishana wakimbizi na nchi ya Malaysia.

Nembo ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi
Nembo ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi
Matangazo ya kibiashara

Mahakama hiyo imesema kuwa hatua ya serikali ya Australia ni kinyume cha sheria na licha ya serikali ya Australia kuwa na mpango wa kuwasafirisha wakimbizi mia nane hadi Malaysia baadaye mwaka huu.
Wakimbizi nchini Australia wanasema wamefurahishwa na uamuzi wa mahakama hiyo, kwa kile wanachokisema kuwa Malaysia ni mahali hatari pa kuishi.
Wachambuzi wa mambo na hususan watetezi wa haki za binaadam wameunyooshea kidole mpoango huo wa kubadilishana wakimbizi kati ya mataifa hayo mawili, wakidai kuwa huo ni ukiukwaji wa haki za binadamu.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.