Pata taarifa kuu

Guterres alaani' Ukraine: kufanyika kwa uchaguzi wa urais wa Urusi katika maeneo 'yanayokaliwa'

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres "analaani" kufanyika kwa uchaguzi wa urais wa Urusi "katika mikoa ya Ukraine inayokaliwa" na Urusi, msemaji wake amesema siku a Ijumaa, Machi 15.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres. REUTERS - DENIS BALIBOUSE
Matangazo ya kibiashara

“Katibu Mkuu analaani juhudi za Shirikisho la Urusi kufanya uchaguzi wake wa urais katika mikoa ya Ukraine inayokaliwa na Shirikisho la Urusi.

Anakumbusha kwamba jaribio haramu la kunyakua mikoa ya Ukraine halina uhalali chini ya sheria ya kimataifa," Stéphane Dujarric ametangaza katika taarifa yake, akirudia kushikamana kwa Umoja wa Mataifa kwa "uhuru" na "uadilifu wa eneo" la Ukraine.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.