Pata taarifa kuu

UN inahitaji msaada kuwasaidia waathiriwa wa tetemeko la ardhi Uturuki

NAIROBI – Umoja wa Mataifa unatoa wito wa kupatikana kwa zaidi ya Dola Bilioni 1 kuwaisaidia maelfu ya watu kupata huduma muhimu za kibinadamu Kusini mwa Uturuki, kufuatia tetemeko la ardhi lililosababisha zaidi ya watu Elfu 36 kupoteza maisha mpaka sasa.

Raia walioathirika  na tetemeko la ardhi katika eneo la Kahramanmaras, kusini mwa Uturuki wakipiga foleni kupata chakula cha msaada, Jumapili Februari. 12, 2023.
Raia walioathirika na tetemeko la ardhi katika eneo la Kahramanmaras, kusini mwa Uturuki wakipiga foleni kupata chakula cha msaada, Jumapili Februari. 12, 2023. AP - Emrah Gurel
Matangazo ya kibiashara

Stéphane Dujarric ni msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guteress.

“Fedha hizo zitatzumiwa kwa kipindi cha miezi mitatu kuwasaidia watu milioni tano mkuta mbili ilikuhakikisha kwamba watu wanapata chakula.”ameeleza Stéphane Dujarric ni msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guteress.

Wito kama huu pia umetolewa kwa ajili ya nchi ya Syria ambayo inahitaji Dola Milioni 400, baada ya tétemeko la ardhi kuwauwa watu zaidi ya Elfu tano.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.