Pata taarifa kuu
UFILIPINO - MAZINGIRA

Mamia ya raia wa Ufilipino wakimbia makwao baada ya volcano ya Taal kulipuka

Zaidi ya raia 2,000 wamelazimika kukimbia makwao baada ya volkano ya Taal kuanza kutoa mvuke, ambao umejeza hewa na gesi hatari, na kusabisha wasiwasi wa kutokea kwa matatizo ya kiafya.

Volkano ya Taal, Manila Ufilipino
Volkano ya Taal, Manila Ufilipino © afp
Matangazo ya kibiashara

Kwa muda volkano hiyo ya Taal, imekuwa ikibadilisha rangi na kuathiri eneo nzima la Manila na athari za hewa aina ya Sulphur.

Raia 2, 400 wameondoka eneo hilo tangu serikali kuwataka raia kuhama eneo hilo, amesema mkuu wa majanaga eneo hilo Joselito Castro.

Taal ni eneo ambalo hushuhudia mlipuko wa Volkano mara kwa mara kutokana hali kwa ipo karibu na baharí ya Pacifiki.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.