Pata taarifa kuu
ULAYA

Roberto di Matteo asema timu yake ni jeshi la kimataifa

Meneja wa Chelsea Roberto di Matteo amesema kuwa timu yake ni sawa na jeshi la kimataifa hata kama haitwai kombe la ligi ya mabingwa wa Ulaya.

REUTERS/Hugo Correia
Matangazo ya kibiashara

Meneja hayo amekisifu kikosi chake ambacho kinakabiliana na timu ya Benfica ya Ureno na kusema kuwa vijana wake wafanya vizuri.

Kama haitakubali kipigo katika mchezo wa leo Chelsea itakuwa imefika katika hatua ya nusu fainali kwa mara ya sita katika kipindi cha misimu tisa ya mashindano hiyo.

Roberto di Matteo amesema kuwa ukiangalia katika muongo uliopita utaona kuwa timu hiyo imekuwa ni jeshi la ndani na kimataifa na kusema kuwa ana matarajio makubwa kuwa timu yake itapata mafanikio makubwa.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.