Pata taarifa kuu
ITALIA-Ligi kuu

Lazio Rome yaimenya Parme katika mzunguuko wa nane wa michuano ya ligi kuu ya Itali

Katika mzunguuko wa 8 wa michuano ya ligi kuu ya Italia, Lazio Rome imeifunga katika muda wa ziada Parme mabao (2-1), kupitia mchezaji kutoka Colombia, Brayan Perea. Lazio imepata ushindi huo kufuatia bao lilowekwa wavuni katika dakika ya kwanza ya muda wa ziada na mchezaji Perea.

RFI
Matangazo ya kibiashara

Brayan Perea, mwenye umri wa miaka 20alikuwa ameifungia Lazio bao moja, lakini Parme ilikuja juu na kusawazija kupitia mchezaji kutoka Ufaransa Jonathan Biabiany.

Timu ya Lazio, ambayo imevunja rekodi kwa kupata ushindi mara tanu katika misimu 16 (katika miaka ya 1998, 2000, 2004, 2009, 2013), itamenyana Katika robo fainali na Napoli au Atalanta Bergame.

Napoli-Atalanta et les deux derniers quarts se jouent mercredi, avec l'intermède sur le banc de Mauro Tassotti pour l'AC Milan contre La Spezia (2e div.), en remplacement de Massimiliano Allegri, licencié lundi, et en attendant l'arrivée de Clarence Seedorf.

Napoli itamenyana leo jumatano na Atalanta, huku AC Milan ikijiandaa kucheza na Spezia.

Wakati huhuo mchezaji wa zamani wa klabu ya AC Milan ya Clarence Seedorf amesema kuwa anatarajiwa kuwa kocha wa klabu hiyo baada ya kustaafu kucheza soka.

Seedorf, mwenye umri wa miaka 37, aliwahi kuichezea AC Milan kutoka mwaka 2002 hadi 2012, na anatarajiwa kuchukua nafasi ya Massimiliano Allegri, aliefutwa kazi siku ya jumatatu kwa matokeo mabaya.

Allegri, alitupiwa virago baada ya kufungwa na klabu ya minnows Sassuolo mabao 4 kwa 3.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.