Pata taarifa kuu
Michezo, Tennis

Jo Wilfried Tsonga atamba katika mashindano ya masters 1000

Wiki 6 baada ya ushindi wake mkubwa katika mashindano ya Wimbledon, Jo Wilfried Tsonga amengarisha tena nyota yake kwa kumshinda Roger Federer katika michuano ya Tenis ya Masters 1000 mjini Montreal nchini Canada kwa seti (7-6 [3], 4-6, 6-1), katika robo fainali mfaransa huyo atapambana na Nicolas Almagro aliemuangusha Richard Gasquet kwa seti (7-6 [5], 6-3).

Gaël Monfils na Jo Wilfried Tsonga
Gaël Monfils na Jo Wilfried Tsonga photosblog
Matangazo ya kibiashara

Upande wake Gaël Monfils mfaransa mwengine huyu ambae alifaanikiwa kumuondowa Viktor Troicki katika mechi ambayo haikuaminika kwa seti (3-6, 7-6, 7-6), Gaël Monfils anaingia robo fainali huko Montréal. Na sasa anakutana na Novak Djokovic.
 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.