Pata taarifa kuu

Majengo zaidi ya 1,300 yameharibiwa katika ukanda wa Gaza

Umoja wa mataifa unasema majengo zaidi ya 1,300 yameharibiwa vibaya zaidi katika ukanda wa Gaza, wakati huu mapigano kati ya wapiganaji wa Hamas na wanajeshi wa Israeli yakiingia wiki moja.

Majengo zaidi ya elfu moja yameharibiwa vibaya katika ukanda wa Gaza
Majengo zaidi ya elfu moja yameharibiwa vibaya katika ukanda wa Gaza AP - Hatem Ali
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.