Pata taarifa kuu
IRAQ-IS-SHAMBULIO

Iraq: helikopta ya jeshi yaangushwa na IS

Kundi la Islamic State (IS) limeiangusha helikopta ya jeshi la Iraq magharibi mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad, na kuua mwanajeshi mmoja, maafisa wamesema.

Helikopta aina ya Bell 407 ya jeshi la Iraq ikipaa karibu na mji wa Ramadi, Januari 15, 2016.
Helikopta aina ya Bell 407 ya jeshi la Iraq ikipaa karibu na mji wa Ramadi, Januari 15, 2016. AFP/AFP
Matangazo ya kibiashara

Tukio hili limetokea Jumatano hii, Februari 17, 2017.

Helikopta hii ambayo ni ya pili Iraq inapoteza kwa muda wa siku mbilia imeangushwa karibu na mji wa Amriyat al-Fallujah. Hata hivyo maafisa bado wanatofautiana juu ya eneo halisi ambapo helikopta hiyo imedunguliwa.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.