Pata taarifa kuu
Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU

Benki ya maendeleo ya Africa, yaonya kuhusu kutumia mali asili kama dhamana kwa mikopo

Imechapishwa:

Benki ya maendeleo ya Afrika imeonya mataifa ya Afrika dhidi ya kuchukua mikopo kwa kutumia mali asili kama dhamana, benki hiyo ikisema kuwa hatua hii imekuw ana athari kwa uchumi wa mataifa ya Afrika.

Rais wa AfDB Akinwumi Adesina apongeza utendaji wa uchumi wa Afrika (picha ya kielelezo)
Rais wa AfDB Akinwumi Adesina apongeza utendaji wa uchumi wa Afrika (picha ya kielelezo) REUTERS/Amit Dave
Matangazo ya kibiashara

Unadhani mataifa ya Afrika yanaweza kujiendeleza bila mikopo?

 

Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.