Pata taarifa kuu
Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU

Senegal : Rasi Sall ariasha uchaguzi mkuu

Imechapishwa:

 Rais wa Senegal mwishoni mwa juma alitangaza kuhairisha uchaguzi mkuu wa tarehe 25 ya mwezi huu kwa kile alichosema ni mzozo kati ya bunge na mahakama ya kikatiba baada ya kuondolewa kwa baadhi ya majina ya wagombea.

Rais wa Senegal Macky Sall.
Rais wa Senegal Macky Sall. AP - Lewis Joly
Matangazo ya kibiashara

Unadhani uamuzi wa rais Macky Sall ulikuwa sahihi?

Haya hapa baadhi ya maoni yenu.

 

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.