Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Nyimbo za taarabu zinavyokubalika na mashabiki wa muziki huo: Rahma Machupa

Imechapishwa:

Naomba Stara ni miongoni mwa nyimbo za taarabu zinazokubalika na mashabiki wa muziki huo, katika eneo la Afrika mashariki na kati ambapo Rahma Machupa ndie muimbaji wa kibao hicho. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza nae huku ukipata vionjo vya muziki wake mtamu.

Wanamziki wa taarab visiwani Zanzibar katika African Modern Taarab 2018
Wanamziki wa taarab visiwani Zanzibar katika African Modern Taarab 2018 © Maktaba
Vipindi vingine
  • 20:12
  • 20:03
  • 20:02
  • 20:09
  • 20:03
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.