Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Sanaa ya muziki wa taarab katika maendeleo ya jamii ya kisasa

Imechapishwa:

Nyumba ya sanaa inakuletea vionjo vya muziki wa taarab tangu zama za kale, chimbuko lake lakini pia mchango wa sanaa ya muziki huu katika maendeleo ya jamii wakati huu ulimwengu ukiinukia teknolojia mpya, na mabadiliko ya mambo mengi.Ungana na mwandishi wetu Steaven Mumbi na mgeni wake msanii wa Taarabu kule Tanzania Afua Suleimann Maganga

Mwanamuziki wa taarabu Afua Suleiman Maganga katika East African Melody Band Tanzania 2019
Mwanamuziki wa taarabu Afua Suleiman Maganga katika East African Melody Band Tanzania 2019 © Facebook Afua
Vipindi vingine
  • 20:12
  • 20:03
  • 20:02
  • 20:09
  • 20:03
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.