Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Odinga atinga mahakamani kupinga ushindi wa Ruto, Monusco yakataliwa DRC

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kuhusu kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga alivyowasilisha kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi uliompa ushindi William Ruto na kuwa rais mteule nchini Kenya, mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola huko DRC, muungano wa mashirika ya kiraia yalitangaza kusitisha ushirikiano wao na MONUSCO, Ziara ya rais wa Ufaransa Emmzanuel Macron nchini Algeria, zoezi la sensa lilizinduliwa nchini Tanzania, pia siasa za Marekani, Ukraine na kwengineko duniani.

Waziri Mkuu wa zamani na kiongozi wa upinzani Raila Odinga (kushoto) na aliyekuwa makamu wa rais wa muungano wa Kenya Kwanza na sasa rais mteule wa Kenya William Ruto (kulia).
Waziri Mkuu wa zamani na kiongozi wa upinzani Raila Odinga (kushoto) na aliyekuwa makamu wa rais wa muungano wa Kenya Kwanza na sasa rais mteule wa Kenya William Ruto (kulia). AFP - SIMON MAINA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.