Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Umuhimu wa ardhioevu katika mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Imechapishwa:
Cheza - 09:52
Katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Ardhioevu mnano Febriari 2 kila mwaka, takwimu zinaonesha kuwa takriban asilimia 35 ya maeneo oevu duniani, ambayo pia hupunguza athari za mafuriko na kusafisha maji machafu, yalipotea kati ya 1970 na 2015.