Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Kukamilika kwa wiki ya kwanza ya mkutano wa kimataifa wa mazingira COP27 nchini Misri.

Imechapishwa:

Juma moja tangu mkutano wa kimataifa wa mazingira COP27 kuanza Sharmel Sheikh nchini Misri, mengi yamezungumzwa, lakini kikuu zaidi kumekuwa mazungumzo kuhusu mataifa kukoma kutoa ahadi zaidi, na badala yake kuanza utekelezaji wa ahadi ambazo zilitolewa kwenye mikutano iliotangulia.

Misri: Viongozi wa dunia wataka hatua za haraka kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi katika mkutano wa COP27 jijini Sharm El Sheikh (10/11/2022)
Misri: Viongozi wa dunia wataka hatua za haraka kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi katika mkutano wa COP27 jijini Sharm El Sheikh (10/11/2022) © FMM-RFI
Vipindi vingine
  • 10:12
  • 10:10
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.