Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Siku ya kimataifa ya kuadhimisha hewa safi duniani yaadhimishwa

Imechapishwa:

Mnamo Septemba 7, dunia iliadhimisha siku ya hewa safi duniani, maadhimisho ambayo yalifanyika katika kipindi ambacho dunia bado inakabiliwa na tishio la hali ya mabadiliko ya tabianchi kuzidi kuwa mbaya zaidi.Uchafuzi wa hewa umesababisha ongezeko la joto duniani, hali hii ikichangia majanga kama viale moto wa nyika.Katika makala yetu juma hili, tutakuwa tukiangazia swala la uchafuzi wa hewa, pamoja na hatua zinazochukuliwa na washikadau katika sekta ya mazingira kuangazia hili tatizo hili.

FILE - Jumanne hii ya, Dec. 20, 2016, picha ya mwanamke akitumia kitambaa kuziba mdomo wake ili kujizuia na uchafuzi wa hewa wakati akitembea katika mji wa Beiging, China (AP Photo/Andy Wong, File)
FILE - Jumanne hii ya, Dec. 20, 2016, picha ya mwanamke akitumia kitambaa kuziba mdomo wake ili kujizuia na uchafuzi wa hewa wakati akitembea katika mji wa Beiging, China (AP Photo/Andy Wong, File) AP - Andy Wong
Vipindi vingine
  • 10:12
  • 10:10
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.