Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kenya : Vipi tunaweza zuia mikasa ya moto ?

Imechapishwa:

Watu sita wamefariki nchini Kenya, kutokana na mkasa wa moto ambao ulitokana na mlipuko kwenye kituo cha gesi kilichokuwa karibu na  makaazi ya watu mtaani Embakasi viungani mwa jiji la Nairobi.

Polisi wanamzuilia mlinzi wa kiwanda hicho kulikotokea mlipuko huo wa gesi
Polisi wanamzuilia mlinzi wa kiwanda hicho kulikotokea mlipuko huo wa gesi REUTERS - MONICAH MWANGI
Matangazo ya kibiashara

 

Tunakuliza wewe, nini kifanyike ili kuepusha mikasa kama hii kwenye maakazi ya watu , maana si mara ya kwanza tukio kama hili kutokea katika mataifa ya Africa.

Watu zaidi ya 200 wameripotiwa kujeruhiwa katika makasa huo
Watu zaidi ya 200 wameripotiwa kujeruhiwa katika makasa huo REUTERS - MONICAH MWANGI

Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.