Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

COP28: Dunia yaidhinisha wito wa kuachana na nishati ya mafuta na gesi

Imechapishwa:

Dunia kwa mara ya kwanza imeidhinisha wito wa kuachana na nishati ya mafuta na gesi katika juhudi zakukabiliana na madiliko ya hali ya hewa.Na hii ni baada ya mkutano wa COP28 kule Dubai.Kwenye makala utakayosikiliza tulimuuliza msikilizaji wetu anafikiri mambo gani yatabadilika baada ya siku 13 za mazungumzo? na pengine alitarajia nini kutoka kwa mkutano huo

COP28 Chief Executive Officer Adnan Amin, United Arab Emirates Minister of Industry and Advanced Technology and COP28 President, Sultan Ahmed Al Jaber, and COP28 Director-General Majid Al Suwaidi appl
Afisa Mtendaji Mkuu wa COP28 Adnan Amin, Waziri wa Viwanda na Teknolojia ya Juu wa Umoja wa Falme za Kiarabu na Rais wa COP28, Sultan Ahmed Al Jaber, na Mkurugenzi Mkuu wa COP28 Majid Al Suwaidi wakipiga makofi walipohudhuria mkutano wa mashauriano, baada ya rasimu ya makubaliano ya mazungumzo kutolewa. , katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi COP28 huko Dubai, Falme za Kiarabu, Desemba 13, 2023. REUTERS/Amr Alfiky REUTERS - AMR ALFIKY
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.