Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Wanawake wachukuwa majukumu muhimu katika familia

Imechapishwa:

Utafiti wa hivi punde nchini Kenya, umeonesha kuwa idadi kubwa ya wanawake wamechukuwa majukumu ya wanaume nyumbani, hasa katika maeneo ya mijini. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini © @ikulumawasliano
Matangazo ya kibiashara

Wengi wakionekana kusimamia majukumu muhimu kwa familia 

Je unakubaliana na utafiti huu kwamba wanaume wameacha kuteleza majukumu yao kwa jamii? 

 

Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.