Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kiongozi wa Wagner Yevgeny Prigozhin azikwa

Imechapishwa:

Tunaangazia Kifo cha kiongozi wa Wagner Yevgeny Prigozhin kutokana na ajali ya ndege ambacho kimezua maswali mengi likiwemo suala la ulipizaji kisasi kutoka kwa rais wa Urusi Vladmir Putin miezi miwili tu baada ya uasi wa muda mfupi.Tumemuuliza msikilizaji ikiwa anafikiri kifo chake kilikuwa ajali ya kawaida ama uhalifu ?Kifo chake kinaathiri vipi shughuli za Wagner barani Afrika ?

Mazishi ya Yevgeny Prigozhin karibu na St. Peterburg nchini Urusi
Mazishi ya Yevgeny Prigozhin karibu na St. Peterburg nchini Urusi REUTERS - MAXIM SHEMETOV
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.