Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Hofu ya vita vya sudan kusambaa kwa mataifa jirani

Imechapishwa:

Umoja wa mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu kuenea kwa mataifa jirani kwa vita vinavyoendelea nchini Sudan, umoja huo ukisema kuna haja ya hatua za dharura kuchukuliwa ili kunusuru hali nchini Sudan.

Jenerali Fattah al-Burhan, katikati ya picha,
Jenerali Fattah al-Burhan, katikati ya picha, via REUTERS - SUDANESE ARMED FORCES
Matangazo ya kibiashara
Le secrétaire général de l'ONU, Antonio Guterres, redoute que le Soudan soit « au bord d'une guerre civile totale ».
Le secrétaire général de l'ONU, Antonio Guterres, redoute que le Soudan soit « au bord d'une guerre civile totale ». AP - Khalil Senosi
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres, amesema vita hivyo pia huenda vikageuka kuwa vya wenyewe kwa wenyewe.

Haya hapa maono yako kuhusu hali nchini Sudan.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.