Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Pande hasimu nchini Sudan zakubaliana kusitisha mapigano kwa mara nyingine

Imechapishwa:

Pande hasimu nchini Sudan zakubaliana kusitisha mapigano kwa mara nyingine, ili kutoa nafasi kwa misaada kuwafikia waathiriwa, wakati huu pia Marekani na Saudi Arebei yakiendeleza mazungumzo ya upatanisho.

Jenerali Fattah al-Burhan, katikati ya picha,
Jenerali Fattah al-Burhan, katikati ya picha, via REUTERS - SUDANESE ARMED FORCES
Matangazo ya kibiashara
Jeshi limefunga akaunti za benki za jenerali Mohamed Hamdan Dagalo na washirika wake
Jeshi limefunga akaunti za benki za jenerali Mohamed Hamdan Dagalo na washirika wake AFP
Haya yanajiri wakati huu umoja wa mataifa yakieleza kusikitishwa kwake na kuendelea kushuhudia kwa maafa yanayotokana na mapigano hayo.

Haya hapa baadhi ya maoni yako kuhusu mada hii.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.