Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Maoni ya waskilizaji kuhusu hatuwa ya kuzimwa internet kwa ajili ya kudhibiti maandamano

Imechapishwa:

Nigeria, Afrika ya Kati, Sudan, na hivi karibuni Senegal... nchi mbalimbali za Afrika, zilifunga mitandao ya kijamii na intaneti, ili kudhibiti maandamano.Unadhani Kuzima mitandao ya kijamii kunaweza kusitisha maandamano katika mataifa yetu?Je, Kuzima mitandao ya kijamii ni ukiukwaji wa uhuru wa kimsingi wa raia ?

Watu wakimpita mwanachama wa vikosi vya usalama wakati wa mapigano na wafuasi wa kiongozi wa upinzani wa Senegal Ousmane Sonko, baada ya kiongozi huyo kuhukumiwa kifungo, huko Dakar, Senegal, Juni 3, 2023.
Watu wakimpita mwanachama wa vikosi vya usalama wakati wa mapigano na wafuasi wa kiongozi wa upinzani wa Senegal Ousmane Sonko, baada ya kiongozi huyo kuhukumiwa kifungo, huko Dakar, Senegal, Juni 3, 2023. © REUTERS - ZOHRA BENSEMRA
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.