Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Ubaguzi wa rangi katika soka la Uhispania

Imechapishwa:

Tukio la juma hili la ubaguzi wa rangi dhidi ya mchezaji wa Real Madrid ya Uhispania na timu ya taifa ya Brazil, Vinicius Junior, limeamsha hisia kali, wadau wakitaka hatua kali kuchukuliwa. Tayari watu kadhaa wamekamatwa.Msikilizaji Unafaikiri nini suluhu ili kukomesha matukio kama haya kwenye michezo?FIFA inapaswa kufanya nini  kuhakikisha sheria zilizoko zinafanya kazi? Kupata majibu ya maswali haya ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka akizungumza na wasikilizaji

La Liga imesema itachunguza iwapo Vinicius Junior alibaguliwa kirangi
La Liga imesema itachunguza iwapo Vinicius Junior alibaguliwa kirangi AP - Alberto Saiz
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.