Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Marais wa Africa kuelekea Urusi na Ukraine

Imechapishwa:

Ujumbe wa viongozi wa bara Afrika wanaojaribu kuzishawishi nchi za Urusi na Ukraine kumaliza mapigano yanayoendelea unatarajiwa kuzuru Moscow na Kiev kuanzia mwezi ujao.

Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa
Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa © AP / Sergei Chirikov
Matangazo ya kibiashara
Rais wa Ukraini Volodymyr Zelensky wakati wa hafla ya wanajeshi wa Ukrain iliyodimishwa huko Bakhmout, Desemba 20, 2022.
Rais wa Ukraini Volodymyr Zelensky wakati wa hafla ya wanajeshi wa Ukrain iliyodimishwa huko Bakhmout, Desemba 20, 2022. © AFP PHOTO / UKRAINE PRESIDENCY

 

Taarifa hii imethibitishwa na ofisa wa ngazi ya juu katika  serikali ya Afrika Kusini, nchi ambayo imeonekana kuwa mshirika wa karibu wa rais Putin.

Marais  za Zambia, Senegal, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uganda, Misri na Afrika Kusini, wanatarajiwa kuongoza juhudi hizo, suala ambalo limekaribishwa na umoja wa mataifa.

Nini maoni yako kuhusu hatua hii? skiza makala haya

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.