Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Raia wengi waendelea kuhamlishwa jijini Khartoum Sudan

Imechapishwa:

Makala imeangazia maelfu ya watu wanaoendelea kuhamishwa kutoka jijini Khartoum huko Sudan wakati huu kukishuhudia mapigano kati ya jeshi la serikali na waasi wa RSF. Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi

Watu hukusanyika kwenye kituo cha basi kutoroka Khartoum wakati wa mapigano kati ya Vikosi vya Msaada wa Haraka vya kijeshi na jeshi huko Khartoum, Sudan Aprili 19, 2023.
Watu hukusanyika kwenye kituo cha basi kutoroka Khartoum wakati wa mapigano kati ya Vikosi vya Msaada wa Haraka vya kijeshi na jeshi huko Khartoum, Sudan Aprili 19, 2023. REUTERS - EL TAYEB SIDDIG
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.