Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Tanzania yafuta sherehe za Uhuru, fedha zitumike kwa maendeleo

Imechapishwa:

Kwenye Makala habari rafiki Jumatano hii tunaangazia hatua ya rais wa Tanzania Samia Suluhu kuahirisha sherehe ya muungano ya tarehe 26 mwezi huu, kwa lengo la kuokoa fedha ili zitumike kwenye miradi ya maendeleo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. © https://www.ikulu.go.tz/
Matangazo ya kibiashara

Tunakuuliza wewe unazungumziaje hatua hii?

Unadhani kuna manufaa ya siku za kitaifa kuadhimishwa kwa gharama kubwa?

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.