Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kinara wa upinzani nchini Kenya Odinga aitisha maandamano jumatatu marchi 20

Imechapishwa:

Nchini Kenya kinara wa upinzani Raila Odinga, ameitisha maandamano kuishinikiza serikali ya rais William Ruto kulishughulikia swala la mfumuko wa bei linaonekana kuwa mzigo kwa raia wa Kenya. Unadhani hatua hii ya upinzani itasaidia kulishugulikia swala la mfumuko wa bei? Hapo kwenu serikali inafanya nini kutatua swala la mfumuko wa bei?

Mpinzani wa Kenya Raila Odinga akizindua vuguvugu la kupinga mamlaka ya Rais William Ruto katika mitaa ya Nairobi, Machi 9, 2023.
Mpinzani wa Kenya Raila Odinga akizindua vuguvugu la kupinga mamlaka ya Rais William Ruto katika mitaa ya Nairobi, Machi 9, 2023. REUTERS - MONICAH MWANGI
Matangazo ya kibiashara

Nchini Kenya kinara wa upinzani Raila Odinga, ameitisha maandamano kuishinikiza serikali ya rais William Ruto kulishughulikia swala la mfumuko wa bei linaonekana kuwa mzigo kwa raia wa Kenya. Unadhani hatua hii ya upinzani itasaidia kulishugulikia swala la mfumuko wa bei? Hapo kwenu serikali inafanya nini kutatua swala la mfumuko wa bei?

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.