Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Rais Kenyatta amuunga mkono kiongozi wa upinzani Raila Odinga

Imechapishwa:

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mwishoni mwa wiki iliyopita alimuidhinisha aliyekuwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga kama mrithi wake wakati uchaguzi mkuu utafanyika mwezi Agosti.Je, una maoni gani kuhusu hatua ya Rais Kenyatta?Katika nchi yako, Rais anayeondoka madarakani anaweza kumuidhinisha mpinzani wake?Nini matarajio yako kuhusu uchaguzi wa Kenya?

Rais Uhuru Kenyatta akiwa na kiongozi wa upinzani Raila Odinga
Rais Uhuru Kenyatta akiwa na kiongozi wa upinzani Raila Odinga Evans Ouma AFP
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.