Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Viongozi wa ECOWAS waiwekea Mali vikwazo vya kiuchumi

Imechapishwa:

Viongozi wa jumuiya ya nchi za Afrika magharibi ECOWAS wameiwekea vikwazo vikali vya kiuchumi nchi ya Mali, kutokana na kucheleweshwa kwa uchaguzi kuelekea kurejeshwa kwa utawala wa kiraia.Msikilizaji, unadhani vikwazo hivyo vitaufanya uongozi wa kijeshi kubadili msimamo wake ?Unafikiri vikwazo hivyo vitawaathiri zaidi wananchi kuliko viongozi wa kijeshi ?

Rais wa Mali Kanali Asimi Goita
Rais wa Mali Kanali Asimi Goita AFP - NIPAH DENNIS
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.