Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Lionell Messi ashinda tuzo ya Ballon d'Or 2021

Imechapishwa:

Mchezaji wa soka kutoka Argentina, anayechezea klabu ya Paris Saint Germain Lionell Messi ameshinda tuzo ya Ballon d'Or mwaka huu, tuzo inayotolewa nchini Ufaransa . Hii ni tuzo yake ya saba.Aliwashinda wachezaji wenzake Robert Lewandowski na Jorginho.Nini maoni yako kuhusu hili?

Lionel Messi ameshinda Ballon d'Or kwa mara ya saba
Lionel Messi ameshinda Ballon d'Or kwa mara ya saba FRANCK FIFE AFP
Vipindi vingine
  • 08:40
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.