Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mvutano wa matumizi ya maji ya mto Nile

Imechapishwa:

Mvutano wa matumizi ya maji ya mto Nile, bado ni kizungumkuti kati ya Ethiopia, Sudan na Misri na rais wa DRC Felix Thisekedi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, anazuru nchi hizo kujaribu kupata suluhu. Unadhani rais  Thisekedi atapata suluhu ? Haya hapa baadhi ya maoni yenu msikilizaji.

Bwawa la Ethiopia litakalojazwa maji kutumia maji ya mto Nile.
Bwawa la Ethiopia litakalojazwa maji kutumia maji ya mto Nile. AFP/File
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.