Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Afande Ezekiel Abernego Kyogo katika sanaa ya muziki, filamu na utunzi wa vitabu

Imechapishwa:

Karibu katika makala ya Nyumba ya Sanaa na hii leo tunaye Afisa wa polisi, Afande Ezeckiel Abernego Kyogo ambaye pia ni msanii wa sanaa ya muziki, filamu na mtunzi wa vitabu kikiwemo kitabu cha "Fadhila ya Mfadhiliwa" kutoka nchini Tanzania. Ungana naye Edmond Lwangi Tcheli kufahamu zaidi kuhusu sanaa ya afisaa huyu wa Polisi nchini Tanzania.

Edmond Lwangi Tcheli akihojiana na Ezeckiel Abernego Kyogo
Edmond Lwangi Tcheli akihojiana na Ezeckiel Abernego Kyogo RFI/Lwangi
Vipindi vingine
  • 20:02
  • 20:09
  • 20:03
  • 20:03
  • 20:07
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.