Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Uchaguzi wa Mkuu wa Tume ya Umoja wa Afrika AU uliomchagua Nkosazana Dlamini-Zuma

Imechapishwa:

Makala ya Mjadala Wa Wiki inatupia jicho kuchaguliwa kwa Nkosazana Dlamini-Zuma kuwa Mkuu wa Tume ya Umoja wa Afrika AU akichukua nafasi ya Jean Ping ambaye alishindwa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia. Wageni wetu ni Profesa Larry Gumbe Mchambuzi wa Siasa nchini Kenya na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Diplomasia nchini Tanzania Abdallah Majura.

Mkuu Mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika AU Nkosazana Dlamini-Zuma akiwasili Ethiopia kabla ya kufanyika uchaguzi
Mkuu Mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika AU Nkosazana Dlamini-Zuma akiwasili Ethiopia kabla ya kufanyika uchaguzi REUTERS/Tiksa Negeri
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.