Pata taarifa kuu
KENYA-WFP-UKAME

Hali ya ukame Kaskazini Mashariki mwa Kenya na mchango wa WFP

Nchini Kenya, maeneo ya Kaskazini Mashariki hasa Kaunti ya Garrisa na Tana River, Pwani ya nchi hiyo, yanaendelea kukabiliwa na ukame, hali ambayo imewaacha wakaazi wa eneo hilo kuhangaika kwa kukosa chakula na mahitaji mengine muhimu kama maji.

Mkaazi wa Garissa Kaskazini Mashariki mwa Kenya baada ya kupokea msaada wa WFP, Januari 2022
Mkaazi wa Garissa Kaskazini Mashariki mwa Kenya baada ya kupokea msaada wa WFP, Januari 2022 © WFP/Martin Karimi
Matangazo ya kibiashara

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP, limejitokeza kuwasaidia wakaazi wa maeneo hayo kwa kuwapa elimu ya kuanza kilimo baada ya mifugo yao kufariki kwa sababu ya ukame.

Mkaazi wa kijiji cha Maalimin akippkea msaada wa chakula kutoka WFP, 10/01/2022
Mkaazi wa kijiji cha Maalimin akippkea msaada wa chakula kutoka WFP, 10/01/2022 © WFP/Martin Karimi

Mwandishi wetu Hillary Ingati aliandamana na maafisa wa Shirika la WFP kuthathmini hali ilivyo na kuandaa ripoti zifuatazo:-

02:01

WFP inavyosaidia kilimo cha umwagiliaji Kaskazini mwa Kenya Januari 2022 na Hillary Ingati

02:20

WFP inavyowasaidia wakaazi wa Hola, wanaokabilliwa na ukame Januari 2022 Hillary Ingati

01:35

WFP inavyosaidia watu wanaohangaishwa na ukame Kaskazini mwa Kenya na kuathiri elimu January 2022 na Hillary Ingati

02:15

Hali ya ukame katika Kaunti ya Garrisa Kaskazini mwa Kenya na msaada wa WF Januari 2022 na ripoti ya Hillary Ingati

01:33

WFP yawasaidia wakulima Tana River kuzalisha chakula Januari 2022 na Hillary Ingati

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.