Desemba 1 ni siku ya ukimwi duniani. Ugonjwa wa UKIMWI unasalia kuwa janga duniani hasa kwa mataifa mbalimbali ya Afrika.Takwimu kutoka Shirika la afya duniani WHO zinaonesha kuwa asilimia 69 ya watu Kusini mwa jangwa la sahara, wanaishi na virusi vya HIV.
Vipindi vingine
-
Methodone kupambana na Ukimwi miongoni mwa watu wanaotumia dawa za kulevya
Kenya imeanza matumizi ya methadone kuwasaidia waraibu wa dawa za kulevya kupambana na Ukimwi03/05/202408:40 -
10:09
-
Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo
Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia30/04/202410:00 -
Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki
Ukanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa30/04/202410:13 -
10:00