Pata taarifa kuu

Nini sababu za ongezeko la ajali nchini Kenya na takwimu zinasemaje

Nairobi – Ukanda wa Afrika huchangia asilimia 26.6 ya vifo vinavyohusishwa na ajali za barabara

In Libya, road accidents are more lethal than incidents involving weapons
In Libya, road accidents are more lethal than incidents involving weapons AFP
Matangazo ya kibiashara

Licha ya kuwa Afrika huchangia asilimia moja ya usajili wa magari ,ajali nyingi za barabara hutokea katika nchi za barabara

Shirika la afya duniani linahofu kuwa watu wenye umri mdogo kati ya umri wa miaka mitano na miaka 29 ndio wanaopoteza maisha zaidi katika ajali za barabara

Asilimia 80 ya ajali hizo zinasababishwa na tabia zembe za madereva na watumizi wengi wa barabara ,swala la afya ya akili likionekana pia kuwa swala mtambuka

Carol Korir amezungumza na Samuel Musumba kuhusu hali hii

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.