Pata taarifa kuu
USALAMA-ULINZI

Mashambulizi makali katikati mwa jimbo la Plateau nchini Nigeria yaua takriban watu 160

Idadi ya watu katika ghasia za wikendi katika Jimbo la Plateau nchini Nigeria imeendelea kuongezeka. Jumatatu jioni, Desemba 25, mamlaka katika jimbo hili katikati mwa nchi iMEripoti vifo vya angalau watu 160, waathirika wa mashambulizi yaliyofanywa katika wilaya tatu: Mangu, Bokkos na Barkin-Ladi.

Nyumba ilichomwa kufuatia shambulizi huko Mangu, katika Jimbo la Plateau, Nigeria, Mei 20, 2023.
Nyumba ilichomwa kufuatia shambulizi huko Mangu, katika Jimbo la Plateau, Nigeria, Mei 20, 2023. AFP - -
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.