Pata taarifa kuu

Nigeria: Amri ya kutotoka nje yatangazwa katika mji wa Adamawa

Gavana wa jimbo la kaskazini-mashariki la Adamawa nchini Nigeria ametangaza amri ya kutotoka nje kwa saa 24 kufuatia uporaji wa maduka ya vyakula na maghala katika mji mkuu wa jimbo hilo, Yola.

Janga la uviko 19  na changamoto zengine zimetajwa kuchangia katika kudorora kwa hali ya uchumi nchini Nigeria.
Janga la uviko 19  na changamoto zengine zimetajwa kuchangia katika kudorora kwa hali ya uchumi nchini Nigeria. The Long War Journal
Matangazo ya kibiashara

Mamia ya watu walinaswa kwenye video, wakivunja maghala, wakibeba magunia ya nafaka na vitu vingine vya nyumbani.

Kwa amri ya Gavana Ahmadu Umaru Fintiri, maafisa wa usalama wametumwa kutekeleza amri ya kutotoka nje.

Mwezi uliopita, Nigeria ilimaliza utaratibu wa kutoa ruzuku ya mafuta, na kusababisha kupanda kwa bei ya vyakula na petroli.

Janga la uviko 19  na changamoto zengine zimetajwa kuchangia katika kudorora kwa hali ya uchumi nchini Nigeria.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.