Pata taarifa kuu

Harakati za chama cha upinzani nchini Kenya

NAIROBI – Makala haya ya Wimbi la siasa, juma hili  tunapigia darubini siasa za upinzani zinazoendelezwa nchini Kenya. Juma lililopita, kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, alitangaza kuitisha maandamano ya nchi nzima ndani ya siku 14 zijazo, ikiwa matakwa ya muungano wao wa Azimio hayatatekelezwa ikiwemo kushusha gharama ya maisha kwa raia. 

Raila Odinga, Kinara wa upinzani nchini Kenya
Raila Odinga, Kinara wa upinzani nchini Kenya AFP - SIMON MAINA
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.