Pata taarifa kuu
USHIRIKIANO-DIPLOMASIA

Chad yafungua ubalozi nchini Israel, karibu na Tel Aviv

Rais wa Chad Mahamat Idriss Déby Itno amezindua Alhamisi hii, Februari 2, sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa nchi hiyo nchini Israel, huko Ramat Gan, miaka minne baada ya kuanza tena kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili.

Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu (kushoto) na Rais wa Chad Mahamat Idriss Déby Itno (kulia) walizindua sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Chad huko Ramat Gan mnamo Februari 2, 2023.
Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu (kushoto) na Rais wa Chad Mahamat Idriss Déby Itno (kulia) walizindua sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Chad huko Ramat Gan mnamo Februari 2, 2023. © Photos Reuters & AFP - Montage RFI
Matangazo ya kibiashara

Chad imefungua ubalozi wake wa kwanza nchini Israel. Ufunguzi huo umefanywa Alhamisi hii na Rais Mahamat Idriss Déby Itno. Waziri Mkuu wa Israel  Binjamin Netanyahu, ambaye pia alikuwepo, alipongeza wakati wa kihistoria kwa nchi hizo mbili, ambazo zimeanzisha tena uhusiano wa kidiplomasia miaka minne iliyopita.

Baada ya takriban nusu karne ya mpasuko wa kidiplomasia, Israel na Chad, hatimaye ziliungana tena mwaka wa 2019. Alhamisi hii, kwa hivyo wanaunda muungano wao kupitia ufunguzi wa ubalozi huu.

Uhusiano kati ya nchi hizo mbili ulikatizwa katika miaka ya 1970

Makao yake makuu yako karibu na Tel Aviv, ambapo karibu wawakilishi wote wa kidiplomasia wa kigeni nchini wanapatikana. Ni Marekani pekee, na mataifa mengine machache, yamehamisha ubalozi wao Jerusalem. Taifa la Kiyahudi linauona mji mtakatifu kuwa mji mkuu wake. 

Haijalishi kwa Waisraeli, kutafuta ushirikiano mpya, na msaada wa kidiplomasia: kuanzisha uhusiano na Chad, nchi yenye Waislamu wengi, tayari ni ushindi mkubwa.

Kufikia miaka ya 1970, uhusiano wa pande mbili ulikuwa umevunjika, huku kukiwa na shinikizo kutoka kwa mataifa ya Kiislamu ya Kiafrika. Hivi karibuni, taifa la Kiyahudi limeweka utaalamu wake katika teknolojia, kilimo na usalama katika huduma ya diplomasia yake. Lengo: kuendeleza mahusiano yake katika bara la Afrika, na hasa na Chad.katika serikali ya Cameroon na hata aliwasilishwa na wengine kama mrithi anayewezekana wa Rais Paul Biya kwenye kiti cha urais wa Cameroon kwa zaidi ya miaka 40.

Alikuwa kizuizini kabla ya kesi kwa miaka minne. Alikuwa anashitakiwa kwa "ubadhirifu wa fedha za umma" na "ufisadi". Uchunguzi wa TCS ulifanyika ndani ya mfumo wa operesheni kubwa ya kitaifa ya kupambana na rushwa nchini Cameroon iliyoanzishwa mwaka 2006 na mamlaka na kuitwa "Operesheni Epervier".

Mawaziri kadhaa wa zamani na mameneja wakuu wa makampuni ya umma walihukumiwa kuhusiana na operesheni hii.

Wakati wa kazi yake, Bw. Mebe Ngo'o alikuwa mkurugenzi wa baraza la mawaziri la kiraia la rais wa Jamhuri na mkuu wa polisi. Alichukuliwa kuwa karibu na Bwana Biya. Kisha aliingia serikalini kama Waziri wa Ulinzi (2009-2015) kabla ya kuteuliwa kuwa waziri wa uchukuzi (2015-2018).

TCS ni mamlaka maalum iliyoundwa kuchunguza na kuwashtaki wahusika wa ubadhirifu wa fedha za umma nchini Cameroon kwa kiasi kinachozidi faranga za CFA milioni 50 (euro 76,000). Cameroon imeorodheshwa ya 142 kati ya 180 katika Fahirisi ya Mitazamo ya Ufisadi ya 2022 ya shirika la kimataifa la Transparency International.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.