Pata taarifa kuu
DRC- USALAMA

DRC: Raia wameandamana kupinga uwepo wa vikosi vya EAC

Raia kwenye jimbo la Kivu Kaskazini, hivi leo wameandamana kuitikia mwito wa asasi za kiraia, kupinga uwepo wa vikosi vya Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambavyo wanasema vimeshindwa kudhibiti usalama, mashariki mwa nchi hiyo.Kutoka Bukavu, mwanahabri wetu William Basimike, ametutumia ripoti ifuatayo…

Wanajeshi wa Sudani Kusini ambao ni sehemu ya vikosi vya Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini DRC
Wanajeshi wa Sudani Kusini ambao ni sehemu ya vikosi vya Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini DRC AFP - SAMIR BOL
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.