Pata taarifa kuu
DRC: ZIARA YA PAPA FRANCIS

Hisia Mseto kuhusu zaira ya papa Francis nchni DRC

Msikilizaji wakati huu kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, akianza ziara nchini DRC, raia kwenye eneo la mashariki wamekuwa na hisia mseto kuhusu ziara yake, baadhi wakitaka ashinikize kupatikana kwa amani ya kudumu kwenye eneo hilo.Mwandishi wetu wa Beni, Erickson Luhembwe, alizungumza na baadhi ya raia hao…

Papa Francis, Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani
Papa Francis, Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani © REUTERS - YARA NARDI
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.