Pata taarifa kuu
DRC- USALAMA

DRC: Watu 10 wauawa wakiewemo wapiganaji waasi Mashariki wa nchi

Mashariki mwa DRC, Watu 10 wameuawa wakiewemo wapiganaji waasi wanne katika mashambulio yaliyolenga vijiji 4 kikiwemo kile cha OFAY hapo jana, umbali wa kilometa 100 kusini mwa jiji la Bunia mkowani ituri, Duru za usalama zikiwatuhumu waasi wa ADF kuhusika.Kutoka Beni, mwandishi wetu Erickson Luhembwe, ametutumia ripoti ifuatayo….

Makundi ya waasi wa ADF na M23 yamekuwa yakitekeleza mashambulio kwa raia mashariki ya DRC
Makundi ya waasi wa ADF na M23 yamekuwa yakitekeleza mashambulio kwa raia mashariki ya DRC © Sébastien Kitsa Musayi / AFP
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.