Pata taarifa kuu
DRC- SIASA- UCHAGUZI

DRC: Awamu ya pili ya kuwaandikisha wapiga kura yazinduliwa Lubumbashi

Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, awamu ya pili ya zoezi la kuwaandikisha wapiga kura, limezinduliwa mjini Lubumbashi, kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwezi Desemba, ambao tume ya uchaguzi CENI inasema utafanyika kama ilivyopangwa.Mwandishi wetu Denise Maheho ametuma ripoti hii

Makao makuu ya Tume ya Uchaguzi nchini DRC, CENI
Makao makuu ya Tume ya Uchaguzi nchini DRC, CENI REUTERS/Baz Ratner
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.