Pata taarifa kuu
UFARANSA- AFRIKA MAGHARIBI

Ziara ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron nchini Guinea Bissau

Nchi ya Guinea Bissau, ambayo ni mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya ECOWAS, imesema utawala wa Guinea huenda ukapunguza kipindi cha mpito kutoka miaka mitatu hadi miwili.Rais wa Guinea Bissau Umaro Embalo, amesema haya wakati wa mkutano Wake na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron.Mwandishi wetu Ruben Lukumbuka anataarifa Zaidi.........

Rais wa Ufaransa  Emmanuel Macron na mwenzake wa  Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo, Julai 28  2022
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mwenzake wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo, Julai 28 2022 AFP - LUDOVIC MARIN
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.