Pata taarifa kuu
KENYA- SIASA

Kenya: Mdahalo wa wagombea urais kuelekea uchaguzi mkuu wa agosti 9

Wagombea wa nafasi ya kiti cha urais nchini Kenya, hapo jana walishindana katika mdahalo wa mwisho wa televisheni, ambao hata hivyo wagombea wawili kati ya wanne George Wajackoya na Raila Odinga hawakushiriki, wakiwaacha peke yao  William Ruto na David Mwaure kujibu maswali.Mwandishi wetu Minzilet Ijai, alifuatilia mdahalo huo na kutuandalia taarifa ifutayo….

William Ruto, Mgombea wa urais kupitia chama cha UDA nchini Kenya
William Ruto, Mgombea wa urais kupitia chama cha UDA nchini Kenya REUTERS - BAZ RATNER
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.